Phone:+255 710 123 661 Email: sautdarcentre@gmail.com
Phone:+255 710 123 661 Email: sautdarcentre@gmail.com

TANZIA

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino  cha Tanzania(SAUT), Mhashamu Askofu Flavian Matindi Kassala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, anasikitika kutangaza Kifo cha  Makamu Mkuu wa chuo  hicjo, Balozi Professor Costa Ricky Mahalu, Kikichotokea leo tarehe 09 Machi ,2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya  Kikwete (JKCI).